For sale

Bin Chuma

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2013
Posts
313
Reaction score
247
Truck and trailer inauzwa, ipo safi inatembea, bei maelewano. Mawasiliano 0756337479
 

Attachments

  • 1387975302944.jpg
    84.9 KB · Views: 361
Inaanzia 40 milioni, maongezi zaidi piga cm namba 0756337479
 
Duh!
Aise wewe ni mtunzaji balaa!
Yani tangu vita ya kagera hili lori bado unalo tu.
Big up sana.
 
Hili jukwaa ni la watu makini, kuwa mstaarabu na biashara za watu ndugu.
 
Hili jukwaa ni la watu makini, kuwa mstaarabu na biashara za watu ndugu.

ni kwel yan kuna watu humu wanaleta utani na wanakatishana tamaa kupost vitu yan ukiweka kitu wao wanaleta utan
 
nasikia wakati wa vita 79 walikua wanabeba nyama na hhiii lori

Watu kama nyie mnakula bure,mnalala bure kwa shemeji zenu!
Kazi yenu ni kuongea ujinga ujinga tu!

Mwenzako anatangaza biashara, wewe unaandika ujinga ujinga!kaa kimya waachie wanaotaka kununua!sio kuleta utani kwenye vitu serious..

JF sio level ya watu kama nyie,nyie ni Facebook huko na Insta.

Rudi huko,tuachieni JF yetu.
 

kwel tuwa timue hawa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…