For sale Tsh.220000 only

si ndio hiyo hapo, au unamaanisha kuiona kivipi?
 
Da hiyo sim yangu niliibiwa uwanja wa taifa siku wanacheza Yanga na Azam fiinal kagame cup.....please msinunue nina RB ya hiyo sim.
 
Wewe una RB!!mwenzio ana hadi chaja na betri yake,risiti yake tu ndiyo alimuuzia yule jamaa aliyeiba simu yako.
 
toa wehu wako kwenye matangazo ya watu,
Da hiyo sim yangu niliibiwa uwanja wa taifa siku wanacheza Yanga na Azam fiinal kagame cup.....please msinunue nina RB ya hiyo sim.
 
Da hiyo sim yangu niliibiwa uwanja wa taifa siku wanacheza Yanga na Azam fiinal kagame cup.....please msinunue nina RB ya hiyo sim.

Baki na Rb yako, mnunuzi anakwenda kui flash na kuendelea na maisha km kawa
 
Anaye uza na atakaye nunua wote ni wezi.....lazima niwakamate........hiyo ni blackberry hata ukiflash personal info zitabaki tu....sasa wewe ole wako!
 
Siyo kosa lako, kutokuwa na uwezo wa kununua pia kunachangia
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…