Nauza Toyota Vitz New Model ya Mwaka 2006, Imetembea Kilometre 69,000, ina 18 inch alloy wheels, 6 Airbags,Push to start, Ni automatic na inatumia petrol Bei Mil 9 na Nusu, Kwa anayehitaji ani PM....
Ya Dogo Mmoja anasoma USA alinunuliwa na mzazi wake ya kutembelea huko bongo akija Holiday, ss amegraduate amekuja huko na gari nyingind choice ndio maana hiyo anauza, iko ktk hali nzuri sana