Ford ranger Limited inauzwa

Ford ranger Limited inauzwa

Kitomai

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2009
Posts
1,137
Reaction score
365
Unatafuta pick-up imara, yenye muonekano mzuri na tayari kwa matumizi? Hii ni fursa yako
  • Ford Ranger Limited
  • Namba C
  • Ipo katika hali nzuri sana
  • Imetunzwa vizuri
  • Haina hitilafu, tayari kwa matumizi
Bei: TSh 35,000,000
Inafaa kwa matumizi binafsi, biashara au shughuli za kampuni

0784225000

Wasiliana nasi leo kwa maelezo zaidi na kupanga kuiona

Kitomai Properties – Tunakuunganisha na fursa bora

IMG-20260616-WA0083.jpg
 
mbona unaweka picha kama gari sio ya kuuza.

Weka tuone mbele, pembeni, nyuma, kushoto kulia, ndani ikoje.

Tuna mahela ya kampeni yashatuchosha huku
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom