habari zenu wadau, nauza vitu vyangu vya ndani kwa sababu nategemea kuhama na vingine ninavyo vi 2
samahani sijaweka picha maana sina camera wala smart phone!
Nauza:
Computer: Hp core 2, processor 2.80, ram 4gb hdd (hakuna) monitor hp inch 19 (350,000)
carpet used mwezi 1: Rangi zambarau na white, mita 5 (la sebuleni) (150,000)
carpet used miezi 4 : Rangi broun and black (ya chumba kimoja) (70000)
meza ya computer kama za maofisini (70000)
sofa imetumika miezi 2, (ni vizuri kuiona ndiyo tukubaliane bei)
0713644485 number yangu au pm