For sale: Carina car

For sale: Carina car

Pritty wa joseph

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2014
Posts
2,379
Reaction score
2,051
habar wana JF............Ipo sokoni 4.5 CARINA
 
Attachments

  • 1419863660874.jpg
    1419863660874.jpg
    83.8 KB · Views: 536
  • 1419863676248.jpg
    1419863676248.jpg
    86.8 KB · Views: 497
  • 1419863689551.jpg
    1419863689551.jpg
    67 KB · Views: 500
  • 1419863701524.jpg
    1419863701524.jpg
    69.8 KB · Views: 492
  • 1419863716327.jpg
    1419863716327.jpg
    66 KB · Views: 471
  • 1419863729232.jpg
    1419863729232.jpg
    71.8 KB · Views: 481
habar wana JF............Ipo sokoni 4.5 CARINA

Duh Bei ipo Down mno kama hiyo gari haina tatizo la Engine au haiana record ya kupata ajali kubwa... Inafaa kuwanunulia Ndugu ili wapunguze Mizinga ya hapa na pale.... Mkuu Preety hebu dokeza kidogo kuhusu ajali na engine ipoje am sure TI ni poa kwa watu wabana mafuta... Hebu nipe na Kilometa zake zishafika ngapi...!
 
mkuu yani labda uje chemba nikupe namba za dingi maana sio yangu na sijui lolote kuhusu gar ........ajali ilipata mara moja iligongwa na kuchubuka bt ikanyooshwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom