Pilot_In_Command
JF-Expert Member
- Nov 10, 2013
- 2,507
- 3,459
Dili na Handbrake tuu utapiga msele ChiefNaomba unifundishe kupiga msele kinadharia.
Nikiwa na gari kama passo, noah au ist.
Je kila gari inaweza kupiga msele?
Hao ni wazee wa kufanya fujo barabarani na mitaa ya Coco beach weekend.team nisioipenda dunian ni team tezza hawa nao eti wana magari
KWA KWELI HUU UZI NI MTAMU SANA. UTACHANGAMSHA JUKWAA LETU MANA SIKU HIZI PAMEPOA SANA
kila gari unaweza..Naomba unifundishe kupiga msele kinadharia.
Nikiwa na gari kama passo, noah au ist.
Je kila gari inaweza kupiga msele?
MZEE upo team SUBARU nin????team nisioipenda dunian ni team tezza hawa nao eti wana magari
GURJIT mbaya sana huyo mtuuuMatokeo ya Arusha Rally.
1.Kareen Patel akiwa na Mitsubishi evo 10
2.Gurjit Dhani akiwa na Subaru Gvb
3.Dharam Pandya akiwa na Subaru Gvb
4. Mzee Gurpal akiwa na Mitsubishi evo 10
5. Tufail Tufail akiwa na Subaru Gc8