Msiamini haya maneno,wanajaribu kumwekea Ruto mtego achukue Mudavadi kama deputy,ili Azimio ipate nafasi ya kudanganya MountKenya kuwa wanatharauliwa!
Ni trick za kijinga sana za kidipustate
Wameona kuwa MountKenya iko UDA locked
Hustlers wanataka Martha Karua⚡