Foolmoon in Taurus. Leo usikose kufanya ibada hii

Kaka kama naskia skia iv n jesh gan lile
Kaka Mimi bado mdogo sina hata kiburi Cha kusema niuweni tu wacha nisijefukuzwa bure wakati nimepata ka njia kakupatia tuhela twa ulanzi .
Nicheki kwa simu kaka ,lile dugu langu nililokuunganisha nalo Kama lilikupa detail nisaidie lipige hata kipapai maana limenitangaza kwa ndugu wote eti mimi mshirikina sana kisa nililinyima koti ,siku Fulani ya msiba
 
Sawa kaka simu yako nimeielewa alafu yule jamaa hakuniludia tenah kumbe mkuda mkuda, nipigie kawaida kaka tuchat
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…