Folks Who Made Mwalimu--and Their Place in History

Mengi ya madai ya Sykes yamepingwa na aliyekuwepo tangu TAA na TANU kuzaliwa (kati ya waasisi wa TANU), Chifu Patrick Kunambi! Mwulizeni huyo Chifu atawaambia ukweli.

Kwa nini wanangoja Nyerere afe ndipo waandike...mengine ya utumbo?
 
Mengi ya mwandishi (MOHAMED SAID) ni kutaka kutamati kuwa Nyerere aliwaibia uongozi wa-Islamu na aliwapendelea wa-Katoliki!

Kisa: Wa-Islamu ndio waliongoza siasa za Tanganyika!

kama kuna watu waliofanikisha siasa za Tanganyika ni wanachama wa Vyama vya Ushirika!
 
In all fairness to the Sykes family sijasikia kuwa wanalalamika Nyerere aliwatupa. Aliyegusia kutupwa kwa Waislamu waliomsaidia Nyerere ni mwandishi Mohammed Said. I knew all the three Sykes brothers, Abdulwahid (rip) Ali and Abaas who are still with us and my visit to Dar is never complete if I do not pay hommage to these sons of the soil.
 
Baada ya JK, Waislamu wasikubali kutawaliwa na kiongozi asiyekua Muislamu (Kafir).
 
Baada ya JK, Waislamu wasikubali kutawaliwa na kiongozi asiyekua Muislamu (Kafir).

Sijawahi kusoma wazo la kijinga kama hilo apo juu - na je, wasio Waislamu nao wakisema baada ya JK wasikubali kutawaliwa tena na kiongozi Muislamu.
 
Mwandishi Said anakosa credibility kwa kuanza kung'ang'ania ajenda za kidini wakati enzi hizo haikuwa issue. Waafrica walikuwa wanaunganishwa na rangi yao na jinsi wakoloni walivyokuwa wakiwaangalia. Kwa mkoloni mwafrica alikuwa mwafrica tu, a third class citizen, awe ni mkristo au mwislam. Mapambano dhidi ya ukoloni enzi hizo hayakuwa na dini.

Hizi prejudices za kidini wanazozileta waandishi malimbukeni wa leo was not an issue by then. Ni kweli watu walikuwa na dini zao na at times dini zilikuwa issue kweli. Lakini kwa forward looking intellectuals kama Mwalimu Nyerere dini ilikuwa kitu kidogo sana. Nadhani ndo maana hata hawa ambao siku zote wanamlalamikia wanashangaa sana success ya Nyerere katika maeneo yote ya nchi. Watu wengi sana mwalimu aliwabeba na kuwapa heshima ambazo hata hawakustahili.

Kwa kifupi Nyerere alikuwa juu ya haya mawazo ya chini ya kuona kuwa dini is everything. Watu wanakula rushwa kila kukicha na dini zao na waovu na majambazi hutoka katika dini zote. Nyerere ni kati ya watu walioelewa dhana ya dini kuwa personal kuliko mtu mwingine yeyote.

It is a shame baada ya kufa wanazuka vizuka ambao wanajua mwalimu hawezi kusimama na kuongea wanaendelea kuzusha hili na lile. Dini haikuwahi kuwa ajenda wakati wa kupigania uhuru na leadership ya Nyerere ilionekana zaidi katika kulisimamia hili.
 

Ya huko nyuma yalikuwa hayana impact kwa watanzania,ndo maana hakuamua kuyaexpose.Ameexpose yale tu ambayo alioona yanafaida kwa watanzania
 
Baada ya JK, Waislamu wasikubali kutawaliwa na kiongozi asiyekua Muislamu (Kafir).

Wewe ni haki gani kama unashindwa kutoa haki kwa wenzako.Nani kakwambia Tanzania ni nchi ya kidini?kama hawataki kutawaliwa na Rais asiye muislamu basi mkatafute nchi yenu.Nendeni Zanzibar mtuachie bara yetu maana huko ndo kwenye udini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…