ntemintale
JF-Expert Member
- Sep 6, 2016
- 956
- 1,878
Ni kweli lakini zile two ways zilizokuwepo hazijaathirika kwa lolote. Ziko vile vile kama awali.Ni zile barabara zinazojengwa ..pia mvua inachangia.
Ujenzi ndo umesimama tayari, mpaka miradi mingine iishe, sijui lini!Ni zile barabara zinazojengwa ..pia mvua inachangia.
Tuombe huo ujenzi wa barabara mpya uishe mapema..nahisi utasaidia kusolve foleni.Ujenzi ndo umesimama tayari, mpaka miradi mingine iishe, sijui lini!
Nimefika Kimara, nimekaa dk 5 nikaona hakuna gari inayotikisika, nikageuza, nimepita makongo juu.
Hakuna ujenzi uliosimama mkuu, ule mwingine umesitishwa kwa muda ila bado haujanza na haipiti huku kaka, mjini- pugu-kisarawe-chalinze,Ujenzi ndo umesimama tayari, mpaka miradi mingine iishe, sijui lini!
Nimefika Kimara, nimekaa dk 5 nikaona hakuna gari inayotikisika, nikageuza, nimepita makongo juu.
Ile foleni ya Kimara Ubungo sasa imehamia rasmi Kimara Mbezi. Magari hayasogei kabisa kwa wale waendao mikoani. Hali imekuwa mbaya sana.
Imagine unatumia masaa manne kutoka Kimara mpaka Mbezi. Nini shida wahusika?
Hakuna ajali, hakuna chochote cha maana kinachosababisha foleni.
Nadhani kuna uzembe wa waongoza magari (traffics).
Wahusika tatueni tatizo.
Baba Jeska ana laana, aachie nchi hii wenye akili waongoze!.Hii ni laana ya kuwabomolea watu nyumba zao bila ya kuwalipa fidia..
Sasa ujenzi wa barabara umesimamishwa..
Na bado mabalaa mengine yanakuja.
Wewe utalalamikaje ili hali kwenu kuna barabara moja tu yenye lami kutoka kwa Ded kwenda kwa DcWanaume wa dar,kil siku kulalamik
WAHINDI wenu hao.mlowapa kazi ndio WAMECHEMSHA! HAWANA UBUNIFU, eneo lote kuanzia kimara mpaka mbezi hiyo foleni inasababishwa hapo KIBANDA CHA MKAA kwenye hilo daraja! wameweka mchepuko ambao haukuwa na lami ngumu mapechimbika na kuweka mashimo makubwa sasa kila gari ikipita hapo inasimama kuokoa spring zaoIle foleni ya Kimara Ubungo sasa imehamia rasmi Kimara Mbezi. Magari hayasogei kabisa kwa wale waendao mikoani. Hali imekuwa mbaya sana.
Imagine unatumia masaa manne kutoka Kimara mpaka Mbezi. Nini shida wahusika?
Hakuna ajali, hakuna chochote cha maana kinachosababisha foleni.
Nadhani kuna uzembe wa waongoza magari (traffics).
Wahusika tatueni tatizo.
Juz nliingia dsm saa 1 jion ila nliingia ubungo saa 4 usiku.
Uliingiaje DSM kabla ya kuingia Ubungo?
Hujui kibamba ni dsm