Nchi ipo uchumi wa kati!tukiambiana ukweli kuwa barabara bado,wengi wetu tunapiga kelele za kisiasa,Dar tuna vipande vya barabara sio barabara na ili tukabiliane na tatizo hili la traffic jam ni muhimu tuongeze public transport ili kuondoa private cars ,malori yanayotoka bandarini yapangiwe muda maalum na muda huo traffic officer's wetu wa coordinate route nzima kutoka bandarini hadi kimara,tugeuze njia nyingi ziwe one ways sio kama sasa ni vurugu tu.