hapana usiwe na shaka habari ndiyo kama ilivyo.. hivi vita jamani vina kazi kuliko.. mimi nawashirika tunahifadhi docs zetu nyingine kwenye computer, flash na nyingine online just in case.. sasa hatujui baadhi ya docs (folder) limetoweka na hakuna kati yetu anayejua limetoweka vipi na katika mazingira gani... yawezekana tulifanya uzembe mahali fulani hata mtu akaweza kukisia nenolasiri au hatukufunga kabisa mlango wa nyumba vitasa vyote.. ndio tuko kwenye kufanya utafiti sasa..