Flaviana Matata.....

Dah.

Katoto kanaonekana kabichi kabisa haka.

Wazee wa kuharibu sijui hawajakaona.??
 
Hapa Sir God alituliza patasi yake na hakika msasa aliupiga kiustadi sana.Binti kachongwa akachongeka.Alifanya uumbaji MATATA Kama Flaviana.
 
mi hiyo rangi tu,roho yangu kwatuu
 
Mh Preta, ya kweli hayo??

Kama ni kweli habari hii itakuwa mbaya sana kwangu aiseee.

Kweli kabisa.......
Mbona aliolewa juzi juzi tu hapa shangwe kubwa......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…