Flat Screen Vs Chibonge, comment yako plz

Uzi wako batili tangu lini ukamkuta Shangingi ni flat screen nadhani habari za hawa viumbe unazijua
so kuna miili maalumu ya kuhimili kazi hiyo mkuu, umetisha, nitarudi chimbo ili kuprove kuwa mashangingi ni chibonge au flat screen
 
Naam mkuu mashangingi wengi ambao ndio magwiji wa mahaba wanamiili na misambwanda
so kuna miili maalumu ya kuhimili kazi hiyo mkuu, umetisha, nitarudi chimbo ili kuprove kuwa mashangingi ni chibonge au flat screen
 
Hatimaye leo flat na sisi tumeonwa loh ila kuna kaukweli flat tunakunjwa kila angle tunakunjika ni kama wanaume flat walivyo na fito loh heshima kwa flats
 
Nimefanya utafiti kwa 'kupumzika' na vibonge zaidi ya 369 na flat wapatao 402 bila kusahau size ya kati kama 714 hivyo nakuja na majibu kama hivi;
Makundi yote kuna wanaojiweza na wasiojiweza na tena muda mwengine mwanamke m'baya asiye na mvuto anaweza kukushangaza kitandani ukajikuta unatangaza ndoa! Ila kati ya makundi yote haya bado flat anakuwa bora maana hata akiwa hajui ni rahisi kumchezesha unavyotaka ukapata ladha adimu [emoji2][emoji2]
N.b msambwanda ni muhimu aijalishi mdudu yupo kundi lipi katika hayo [emoji4][emoji4]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…