Vipi waliopo mpakani mwa chibonge na flat screen mkuu?chibonge wananikwamisha kabisa
Ngoja nibezi upande wa mpakani kuelekea chibongehawa walio wengi show zao ni nzur huwezi kujuta ingawa si wote ila wengi wanajitahidi!!!
Miezi michache nilijutia muda wangu sana mkuu, picha inaanza hivi kupitia APP moja hivi nikapendwa na mrembo tukachat kama mwezi na kufahamiana kwa kina so tukapanga atoke mkoani kwake aje kunitunukuu show, akanitumia picha umbo mashalah kiuno Nyigu.Vipi waliopo mpakani mwa chibonge na flat screen mkuu?
Kupanga ni kuchagua mkuuha ha ha ha [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Duh, ingebidi umpe mafunzo kwa faida ya wengine watakaofuata mkuu.Miezi michache nilijutia muda wangu sana mkuu, picha inaanza hivi kupitia APP moja hivi nikapendwa na mrembo tukachat kama mwezi na kufahamiana kwa kina so tukapanga atoke mkoani kwake aje kunitunukuu show, akanitumia picha umbo mashalah kiuno Nyigu.
akajilipia nauli coz hakuwa na njaa ya pesa na ni mtu anajiheshimu mfanyakazi Gvt
nikajilipua lodge safi, msosi safi, Show niliyopewa low quality kabisa, unaishia kuona mwili mzur but hawezi kuutumia nilijuta sana,
Now mrembo zaidi ya kilo 75 basi huyo siyo riziki tena
Kuna maneno ya busara hapa mkuu nimekupa kabisa ngoja niingie chimbo tenaMkuu, kama unatumia vigezo hivyo pekee kupima basi unaweza kuwa sahihi lakini kumbuka
1. Hao "flat screen" nao wapo walio wachovu katika masuala ya faragha
2. Hao vibonge pia wapo walio na kashkash na ujuzi tosha katika masuala ya faragha
3. Kuna mengi ya kuwapima wanawake sio katika suala hili la faragha pekee.
Note: Kuna ambao tulikutana na vibonge wanaojituma na flat screen wanaojituma pia. Nikuombe tu usihitimishe hii report yako kwa kutumia "sample" moja tu. Endelea kutanya upembuzi yakinifu naamini utarudi hapa ukiwa na maono tofauti.