silent lion
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 1,643
- 2,415
But you must understand that when he died the only thing they found in his stomach was anti depression pillsAiseee kweli kuna watu wameishi hapa Duniani, hii clip ni ya MJ akifanya shopping mitaa ya Las Vegas , shopping anaifanya kwa kunyoosha kidole tuu , hajali kuhusu bei, yeye ni mwendo wa kunyoosha tuu kidole “Nataka hicho” ...
Kweli sanaa inalipa, juzi huku kwetu ndugu yetu Naseeb Abdul alinunua Vito vyenye thamani ya milioni 48 ikawa bonge moja la story( hii pesa unajenga kabisa), ila akija akaona hii clip atahisi alinunua viazi au karanga maana watu wananunua mavitu hata hayajulikani kwa mabilioni na jamaa hana hata habari yaani..
Kuna baadhi ya watu wanasema hili Duka mpaka leo wanaionyesha hii clip ya namna MJ alivyofanya kufuru ya manunuzi [emoji1544]
https://youtu.be/HRnCX-8hA4A
Hamuonei Naseeb bali anamtukana MJUnamuonea Naseeb kumlinganisha na MJ!
[emoji23][emoji23][emoji23]Uongeaji wake tangu mtoto....Hajakulia tandale
Ha ha ha. Bongo dhiki tupu. Fikiria mtu ananunua Noah used ya 1999 anairusha insta na caption ' MY BRAND NEW CAR' mtu kafungua kibanda Cha mama ntilie nae anajiona super star. Ndo maana kila mtu anawaza siasa tu.Nilihisi master Jay hadi nilipofungua Link na kukutana na mtabe wa Pop duniani RIP Michael Jackson. Hii ndio maana halisi ya Flexin!
Spend it like nobodys business
Usifanye mchezo na kufanya shopping ya 500M dollar in a couple of hours.Hiyo ni jeuri ya pesa
Cash? Mlimani city wengine tunaishiaga kununua line za simu au benki ikizid Sana toilet.Usifanye mchezo na kufanya shopping ya 500M dollar in a couple of hours.
This..and that one...and these i like them! Imagine unaingia mlimani na kupoint vitu tu bila kujali gharama and paying in full!
MJ alikuwa anapenda sana utoto.Jamaa anaongea kama demu asee
Kama Sepenga au?MJ alikuwa anapenda sana utoto.
Utajiri wa ndumba!Ila mkuu kumfananisha mwana wa nyange na MJ ni sawa na ubwabwa bila maharage
The most talented musician of all the time .Yote hayo aliyapeleka wapi haka kajamaa ukute hata ladha ya k hakaijui [emoji23][emoji23][emoji23]
Ila alikuwa anapendwa jamani