FL1 -Sorry kama nitakukwaza !

Egyps-women

JF-Expert Member
Feb 5, 2010
498
106
Nimesoma Profile yako sijapata nilichokuwa natafuta
Nimekutumia PM bila majibu..umeni-ignore (not fair)
Kupitia Post yako ya leo najisikia kumwambia mme wangu nampenda …ni kweli umeolewa ?? Ni kweli ulikuwa unamanisha ?
Kupitia post ya Pearl .. 1st lady: mcha Mugu,anampenda mumewe,anapenda kazi,mdada mwenye heshima zake....

Naomba kwa niaba ya wana JF utujuze mmeo ni nani ndani ya JF ..kama kweli unampenda ..tumjue shemeji yetu ..?
Je michango yako katika jukwaa la mapenzi na mapendo (mzee hasikii wivu)

I love you FL1
**********
 
Naomba kwa niaba ya wana JF utujuze mmeo ni nani ndani ya JF ..kama kweli unampenda ..tumjue shemeji yetu ..?
Je michango yako katika jukwaa la mapenzi na mapendo (mzee hasikii wivu)

Dah pole da' Egyps-women,
Hilo swali naona halina maana we mchukulie hivyo hivyo kama tunavyo kuchukulia wewe unataka ujue kama mmewe yupo humu ili iweje? Kwa msamaha ngoja tukuombee lakini kwa hili la kutaka kujua kama mmewe yupo mm siliafiki kabisa ukimpora mmewe itakuwaje?
 
itifaki izingatiwe....sorry kama nitakuwa nimekukwaza
 
wat for my dear??? (samahani kama ntakukwaza pia)
 
Oooops Egyps-women nasikia kizunguzungu umenishitua mpendwa nakupenda pia !!
wewe ni Bro or Sissy?
 
Umeanza kwa samahani malizia kwa samahani sidhani kutaka kujua private issues za mtu ni kitu kizuri, sorry kama nitakuwa nimekukwaza.
 
Nimeipenda kwakweli hii, inaleta yale yale ya mada ya Pearl, HISIA,
 
JF WHERE WE DARE TO TALK OPENLY.
Sema mama sema usiogope!!
 
Kuna haja ya mie kujibu hayo maswali ya huyu EW jamani hebu kuweni fair wana JF
Ni kweli anawawakilisha nyie ??? naomba kura ya VETO IPIGWE
 
nina wasiwasi na wewe mama HUENDA WEWE NI HOMOS.....L!uongo kweli?
 
Kuna haja ya mie kujibu hayo maswali ya huyu EW jamani hebu kuweni fair wana JF
Ni kweli anawawakilisha nyie ??? naomba kura ya VETO IPIGWE
Jibu hoja mama. Ye kasema anakuuliza kwa niaba yetu.
 
Kuna haja ya mie kujibu hayo maswali ya huyu EW jamani hebu kuweni fair wana JF
Ni kweli anawawakilisha nyie ??? naomba kura ya VETO IPIGWE
jiulize sana dadaangu!
huyu si mtu wa kawaida!....JF KUBWA SANA.
huenda ni ms...g....i
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…