Daah, hiyo kitu inasumbuaga sana kupatikana, jaribu kuwasiliana na mafundi dar mkuu (ingawa sijui we uko wapi). Sidhani kama unaweza ipata dukani, mafundi wanachukuaga kwenye mashine zilizokufa, ila bei ndo balaa.
Ukikosa kabisa tuwasiliane, ila uwe na subira kwani inahitaji muda wa kati ya wiki 2 hadi 3