Jaribu Utt Amishabari wakuu leo nimeenda bank branch ya nmb nikawaomba wanifanyie hesabu ya milion 40 kwa muda wa mwaka wanadaia hadi mwisho wa mwaka napata laki 240,000 kama faida
sasa just imege unawapa milion 40 ndani ya kipindi cha mwaka mzima usubilie 240k si wizi huu
😀😀😀😀😀😀😀😀daahhabari wakuu leo nimeenda bank branch ya nmb nikawaomba wanifanyie hesabu ya milion 40 kwa muda wa mwaka wanadaia hadi mwisho wa mwaka napata laki 240,000 kama faida
sasa just imege unawapa milion 40 ndani ya kipindi cha mwaka mzima usubilie 240k si wizi huu
UTT ipoje mkuu...Jaribu Utt Amis
WanyonyajiWao wakiizungusha hiyo hela kwenye mikopo wanavuna mara 3 yake alafu wewe wanataka wakupe 240,000?
Sii hatari hiihabari wakuu leo nimeenda bank branch ya nmb nikawaomba wanifanyie hesabu ya milion 40 kwa muda wa mwaka wanadaia hadi mwisho wa mwaka napata laki 240,000 kama faida
sasa just imege unawapa milion 40 ndani ya kipindi cha mwaka mzima usubilie 240k si wizi huu
Labda umekoseatena ukiwauliza wanadai wanatoa 6% kwa mwaka sasa kama hiyo intrest ukipiga hesabu mbona sio 240k ni milion 2,160,000 baada ya Vat
Fanya biashara wewe kama unaona unapigwahabari wakuu leo nimeenda bank branch ya nmb nikawaomba wanifanyie hesabu ya milion 40 kwa muda wa mwaka wanadaia hadi mwisho wa mwaka napata laki 240,000 kama faida
sasa just imege unawapa milion 40 ndani ya kipindi cha mwaka mzima usubilie 240k si wizi huu