linguistics
JF-Expert Member
- Jun 22, 2014
- 4,734
- 4,395
Hao wanaoingiliwa na marungu mengi itakuwa WANAJICHOKOA ndo maana wananuka uozo coz wanaharibu friendly bacteria.Hiyo Vagina clean itself
inatembelewa sana na wanawake wa Tanzania hawajichokoi uchi zao na kwa bahati mbaya wanaingiliwa na malungu mengi matokeo yake wengi wananuka uozo.
"Five things everyone with a vagina should know"
Kwani na wewe una vagina?
Unafahamu kuwa wanaume ndio wanaoamua mtoto azaliwe na vagina au la?Huyo ni demu wako,sio wewe
Mmmmh hebu fafanua mkuu, uamuzi huo vipi?Unafahamu kuwa wanaume ndio wanaoamua mtoto azaliwe na vagina au la?
Tukiongelea mambo ya vinasaba, wanaume wanatengeneza vinasabana vya 'x' na 'y' (chromosomes) wakati wanawake wao hutengenza 'x' tuu, manii huwa ina aidha 'y' na 'x' chromosome. Ili upate mtoto wa kike ni lazima mwanaume atoe 'x' chromosome iunganike na ile ya mwanamke kupata 'xx' (mtoto wa kike).Mmmmh hebu fafanua mkuu, uamuzi huo vipi?
Ukisoma unatoka gizani.. Kuna wajinga wanalaumu mke Kumzalia Mtt wa kike..Tukiongelea mambo ya vinasaba, wanaume wanatengeneza vinasabana vya 'x' na 'y' (chromosomes) wakati wanawake wao hutengenza 'x' tuu, manii huwa ina aidha 'y' au 'x' chromosome. Ili upate mtoto wa kike ni lazima mwanaume atoe 'x' chromosome iunganike na ile ya mwanamke kupata 'xx' (mtoto wa kike).
Vivyo hivyo ili kupata mtoto wa kiume mwanaume lazima atoe 'y' chromosome ili iunganike na 'x' ya mwanamke na kutengeneza 'xy' (mtoto wa kiume). Hivyo utaone mwanaume ndiye anayeamua hiyo vagina iwepo kwa mtoto.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]na mama yako anayo! au nimekosea?
Sasa hapo anaamuaje? Wewe unaamua sasa naweka X au Y?Tukiongelea mambo ya vinasaba, wanaume wanatengeneza vinasabana vya 'x' na 'y' (chromosomes) wakati wanawake wao hutengenza 'x' tuu, manii huwa ina aidha 'y' au 'x' chromosome. Ili upate mtoto wa kike ni lazima mwanaume atoe 'x' chromosome iunganike na ile ya mwanamke kupata 'xx' (mtoto wa kike).
Vivyo hivyo ili kupata mtoto wa kiume mwanaume lazima atoe 'y' chromosome ili iunganike na 'x' ya mwanamke na kutengeneza 'xy' (mtoto wa kiume). Hivyo utaone mwanaume ndiye anayeamua hiyo vagina iwepo kwa mtoto.
hii ni kitchen party au ?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hiyo Vagina clean itself
inatembelewa sana na wanawake wa Tanzania hawajichokoi uchi zao na kwa bahati mbaya wanaingiliwa na malungu mengi matokeo yake wengi wananuka uozo.
Anaamua kwa kua yeye ndiye anayetengeneza za aina mbili tofauti, hata mwili wa mwanamke pia unaamua kuendelea na mimba ama la. Kama kuna matatizo ya kinasaba mwili wa mwanamke huitoa mimba wiki za mwanzo mwanzo.Sasa hapo anaamuaje? Wewe unaamua sasa naweka X au Y?
Nini cha kuchekesha hapo sasa, a vagina is really a self cleansing organ.🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Unafahamu kuwa wanaume ndio wanaoamua mtoto azaliwe na vagina au la?
Duh Kama vagina ya state agentHiyo Vagina clean itself
inatembelewa sana na wanawake wa Tanzania hawajichokoi uchi zao na kwa bahati mbaya wanaingiliwa na malungu mengi matokeo yake wengi wananuka uozo.