No.2 inanukia ukweli flani na ndio maana wanasema mtalaka hatongozwi
mmmmmmmh mimi ndo nimelewa tofauti nini mbona kama statement yenyewe haiko hivomi nimeikubali statement ya juu kabisa...."wanawake huvutiwa zaidi na wanaume wasioonyesha kuwahitaji sana"
mmmmmmmh mimi ndo nimelewa tofauti nini mbona kama statement yenyewe haiko hivo
If these came with supporting evidence or some logical explanation,then they would make some sense.