Fitness Trackers

Fitness Trackers

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
31,311
Reaction score
89,467
Nauza health fitness tracker kwaajili ya afya, mazoezi na notifications. Kazi zake:

-Inapima mapigo ya Moyo.
-Inapima pressure ya damu.
-Inapima kiwango cha Oxygen katika damu.
-Inahesabu hatua ulizotembea.
-Inapima umbali uliotembea kwa siku.
-Inapima calories ulizoburn kwa siku.

Ukiunganisha na Bluetooth kwenye cm yako inaweza kufanya hivi:

-Inaonesha jina la mtu aliepiga.
-Inaonesha jina la mtumaji SMS.
-Unaweza kusoma SMS na notification yoyote ilioingia kwenye simu yako.
-Unasoma meseji kutoka WhatsApp Instagram Facebook Twitter WeChat etc.

Vilevile ina Saa, Alarm, Stopwatch na ni water proof IP67.

Unachaji kwa USB na zinakaa na chaji wiki na kuendelea.

Bei ni Tsh Elfu 30, 40, 50, 75 na Laki 1 tu.

Nipo Ubungo DSM simu namba: 0758-095 750

Kwa picha za smartwatch za aina mbalimbali na bei tofauti tofauti nicheki 0758-095-750
IMG_20181010_152500_535.jpeg
FB_IMG_1538046217766.jpeg
FB_IMG_1537551551970.jpeg
FB_IMG_1534255430161.jpeg
FB_IMG_1539174190742.jpeg
FB_IMG_1534255433109.jpeg
FB_IMG_1534255442844.jpeg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom