Mchezaji wa zamani wa Yanga Fiston Mayele ambaye kwa sasa anakipiga katika klabu ya Pyramids fc. kwa sasa anazungumziwa kumfuata kocha wake wa zamani Nasreddine Nabi. Nabi ambapo kwa sasa ni kocha wa mkuu wa Kaizer Chiefs.
Hii habari ni ya imeendelea kushika kazi kwenye mitandano ya kijamii ya huko Afrika Kusini south.Nabi anataka kuja kivingine?
Au ni mikono ya Hersi kuwafufua kaizer chiefs?
Hasa Hersi aweke mikono yake kuifufua Kaizer ili apate nini? Na ili iweje? Kwani Kaizer Motaung hana uwezo wa kuandaa project ya kuirudisha Kaizer Chiefs kwenye ubora wake?
Kuhusu Mayele kwenda Kaizer Chiefs inawezekana kutokana na ushawishi wa Nabi ambaye alifanya nae kazi pamoja wakiwa Yanga, na uzuri ni kwamba Mayele kawa na muendelezo mzuri, kikubwa pesa tu.
We ndio umeshindwa kugundua kuwa picha ni edited. Wapi mleta uzi kasema hiyo picha ni halisi ya mayele akiwa anasaini Keizer? Siku nyingine acha ujuaji dogo.