Kweli wenye akili Ni wawili tuKama Magufuli alivyo saidia Tanzania kuwa maarufu saana nje ya Africa na ndani ya Africa kutokana na misimamo yake
Na Mayele naye amesaidia league yetu kuwa maarufu saana inje ya Tanzania na ndani ya Tanzania kwa ushangiliaji wake na uwezo wake. Kuna watu watabisha ila huu ndo ukweli
Sasa hivi ukitaka kupata comment nyingi hapa hapa Tanzania wewe post kitu chochote kuhusu Fiston Mayele hata nje ya Tanzania wewe post tu kitu chochote kuhusu Fiston Mayele
Siku hizi nimekuwa na tabia ya kufuata habari za league kutoka kwenye vyombo vya habari vya nje ya Tanzania jana nikangukia kwenye page ya Waarabu nilikuta wamepost picha ya Fiston Mayele halafu wakandika kiarubu chao mimi nika transilat
Walikuwa wanasema al hilal wanamtaka Fiston Mayele. Comment zilishuka hapo mpaka Nikasema dah kweli Yanga wanamchezaji mkubwa kiasi hichi
Toka kwa Waarabu nenda kwa wa south andika habari za Fiston Mayele
Toka uko nenda kwa wakongo wenyewe andika habari za Fiston
Toka uko nenda kwa Wakenya andika habari za Fiston
Fiston amekuwa maarufu saana
Jambo gani kubwa alilofanya kubwa?Kivipi
Ni wivu tuJambo gani kubwa alilofanya kubwa?
Ni mchezaji mzuri lakini bado hajafanya jambo la kushangaza ambalo wengi waliopita walifanya mfano tambwe kagere wamefunga zaidi ya goli hamsini sasa yeye kitu gani kikubwa alichokifanya sema amekuta Yanga mbovu ndio maana mnaimba sana huo mwimbo angekuja ile Yanga ya kampa kampa tena wala usingesema haya
Amefanya kitu gani kikubwa ambacho tambwe na kagere walishindwa kufanya ? Yaan hata mrisho ngasa alifanya makubwa kufunga magoli mengi caf
Yaani naona watu wanajibu tu pasipo kuelewa hivi ni kikuuliza diamond anaimba mziki gani mzuri zaidi ya hawa wenzake?Amefanya kitu gani kikubwa ambacho tambwe na kagere walishindwa kufanya ? Yaan hata mrisho ngasa alifanya makubwa kufunga magoli mengi caf
Sasa huyo mayele amefanya lipi la ajabu ambalo tuone amefanya makubwa?
Huna unalojua katika mpira unatoa mfano wa diamond wakati diamond amefanya vitu kila mtu anaona mm nakuuliza mayele amefanya nini kubwa mpaka unasema ameitangaza ligi yetu maelezo yako yanakufunga tuambie jambo kubwa alilofanya ili tuone anaitangaza ligi yetuYaani naona watu wanajibu tu pasipo kuelewa hivi ni kikuuliza diamond anaimba mziki gani mzuri zaidi ya hawa wenzake?
Na kwanini yeye ndo msanii mkubwa saana Tanzania zaidi ya wenzake
Ni nyota na mimi na sema mayele yeye hafosi nyota ni kitu ambacho anacho ndani ya mwili wake tu na nyota yake ndo inayo mpelekaa ku shine africa mzima
Wewe ndo uelewi kitu mimi si semi mpira bali na sema nyotaHuna unalojua katika mpira unatoa mfano wa diamond wakati diamond amefanya vitu kila mtu anaona mm nakuuliza mayele amefanya nini kubwa mpaka unasema ameitangaza ligi yetu maelezo yako yanakufunga tuambie jambo kubwa alilofanya ili tuone anaitangaza ligi yetu
Wa kawaida sana Mayele, Dejan wa Simba ndio ana nyota kali ya umaarufu jamaa hana hata miezi 6 bongo ila jina lake limekuwa Gumzo...Kama Magufuli alivyo saidia Tanzania kuwa maarufu saana nje ya Africa na ndani ya Africa kutokana na misimamo yake
Na Mayele naye amesaidia league yetu kuwa maarufu saana inje ya Tanzania na ndani ya Tanzania kwa ushangiliaji wake na uwezo wake. Kuna watu watabisha ila huu ndo ukweli
Sasa hivi ukitaka kupata comment nyingi hapa hapa Tanzania wewe post kitu chochote kuhusu Fiston Mayele hata nje ya Tanzania wewe post tu kitu chochote kuhusu Fiston Mayele
Siku hizi nimekuwa na tabia ya kufuata habari za league kutoka kwenye vyombo vya habari vya nje ya Tanzania jana nikangukia kwenye page ya Waarabu nilikuta wamepost picha ya Fiston Mayele halafu wakandika kiarubu chao mimi nika transilat
Walikuwa wanasema al hilal wanamtaka Fiston Mayele. Comment zilishuka hapo mpaka Nikasema dah kweli Yanga wanamchezaji mkubwa kiasi hichi
Toka kwa Waarabu nenda kwa wa south andika habari za Fiston Mayele
Toka uko nenda kwa wakongo wenyewe andika habari za Fiston
Toka uko nenda kwa Wakenya andika habari za Fiston
Fiston amekuwa maarufu saana
Tunaenda CAF sasa kule ndio tutajua sasa Mayele anayo hiyo nyota au ni makelele tu🤣 YANGA hamna akiliUkitaka uwaudhi makoloWizard wewe mtaje Mayele, bao tatu alizo wakojolea zimeanza kuzaa matunda ni kutema mate hovyo, kama mama kijacho aliyetelekezwa na mwanaume aliyempa mimba 🤣🤣🤣
Dejan hana nyota yeyoke kwani anaye vuma ni dejan au wimbo wa mzunguWa kawaida sana Mayele, Dejan wa Simba ndio ana nyota kali ya umaarufu jamaa hana hata miezi 6 bongo ila jina lake limekuwa Gumzo...
Kumbe Yanga ni mbovu? Na ndio sababu mayele sio maarufuJambo gani kubwa alilofanya kubwa?
Ni mchezaji mzuri lakini bado hajafanya jambo la kushangaza ambalo wengi waliopita walifanya kama yeye kwa kiwango chao mfano tambwe kagere wamefunga zaidi ya goli hamsini sasa yeye kitu gani kikubwa alichokifanya sema amekuta Yanga mbovu ndio maana mnaimba sana huo mwimbo angekuja ile Yanga ya kampa kampa tena wala usingesema haya
Amepiga piga mkono kofi na kutingisha kifua.Huna unalojua katika mpira unatoa mfano wa diamond wakati diamond amefanya vitu kila mtu anaona mm nakuuliza mayele amefanya nini kubwa mpaka unasema ameitangaza ligi yetu maelezo yako yanakufunga tuambie jambo kubwa alilofanya ili tuone anaitangaza ligi yetu
Manzoki umewahi kumuona akicheza 90' wapi au fata mkumboHabari ya mjini ni mzungu... Mtaanzisha nyuzi mpaka mkome....
Na MAnzoki anatua...Sijui itakuwaje sasa
Sasa utaweza kuifananisha na ile na Yanga ya kampa kampa tenaKumbe Yanga ni mbovu? Na ndio sababu mayele sio maarufu
[emoji28][emoji23]Tatizo ni hili kwenye hii sentensi yako ...........Hujaimalizia ni Umaarufu wa wapi...? tutakusaidia kumalizia...
'Fiston mayele ana nyota ya umaarufu huko Tandale Kwa mtogole'