Wakuu JF Amani iwe Nanyi
Kutokana na Matukio yaliyokithiri ya watu Kumwagiwa Tindikali, na kwa kuwa hatujui nini kitatutokea.
Kwa wale ambao wanajiona wako Vulnerable kumwagiwa ACID (Kumwagiwa Acud Prones),
Nimeona ni Bora Nije na Kaushauri kadogo ambako kanaweza kuwa Msaada katika kujipatia Huduma ya Kwanza.
Kwa vile tunajua (From Chemistry) kuwa Tindikali (Acid) ikichanganywa na Base (Alikali) Matokeo huwa Chmvi na Maji.
Hii ni Property ya Acid na Base.
Mathalani, Hydrochrolic Acid (HCL) ikichangnywa na Sodium Hydroxide (NA0H), Zao huwa ni Maji (H20) na Sodium Chroride, Chumvi (NACL)
Hivyo Basi, Muda umefika sasa wa kuanza kutembea na kikopo cha alkali,ukimwagiwa tindikali na wewe unai-neutralize kwa kujimwagia kidogo!
MKUU BORA UNGESEMA MTU AJIOSHE WITH PLENTY OF WATER lakini hii ya kwako ni inaweza kuwa hatari
Ha ha ha ni kweli but the advantage is that dring formation of product compounds(salt and water) heat would be produced(Energy must be evolved in any chemical rexn) this results to extremely burning of your skin
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
teh teh teh... Hizo reactions zinatokea kwenye beaker ww sio usoni...Wakuu JF Amani iwe Nanyi
Kutokana na Matukio yaliyokithiri ya watu Kumwagiwa Tindikali, na kwa kuwa hatujui nini kitatutokea.
Kwa wale ambao wanajiona wako Vulnerable kumwagiwa ACID (Kumwagiwa Acud Prones),
Nimeona ni Bora Nije na Kaushauri kadogo ambako kanaweza kuwa Msaada katika kujipatia Huduma ya Kwanza.
Kwa vile tunajua (From Chemistry) kuwa Tindikali (Acid) ikichanganywa na Base (Alikali) Matokeo huwa Chmvi na Maji.
Hii ni Property ya Acid na Base.
Mathalani, Hydrochrolic Acid (HCL) ikichangnywa na Sodium Hydroxide (NA0H), Zao huwa ni Maji (H20) na Sodium Chroride, Chumvi (NACL)
Hivyo Basi, Muda umefika sasa wa kuanza kutembea na kikopo cha alkali,ukimwagiwa tindikali na wewe unai-neutralize kwa kujimwagia kidogo!
Ha ha ha ni kweli but the advantage is that dring formation of product compounds(salt and water) heat would be produced(Energy must be evolved in any chemical rexn) this results to extremely burning of your skin
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
What kind of reaction would that be??
Exothermic or endothermic
Heri iwe endothermic