Royal Security Solution
Member
- Oct 10, 2020
- 14
- 16
Hii nimeipenda nitakutafutaOFFFER OFFFER OFFFER
Pata cctv camera ya bulb sasa kwa uangalizi wa eneo lako...
PAMOJA BOSS .. KARIBU SANA 0710201330Hii nimeipenda nitakutafuta
Ziko sehemu nyingi sana . Na huwezi kujua ..Kuna sehemu nilifanya kazi, ghafla bin vuu, bulb zote zikabadilishwa, nilihisi zilikuwa na camera, kumbe hisia yangu ilikuwa sahihi maana zilikuwa na design Kama hizo ilizoleta.
Hapana boss wangumkuu samahan mnakopesha,kuna manz yngu naona hajatulia
Ni moja na inafanya kazi ikiwa yenyewe . Stand one cameraHyo bei ni full set au ni hyo Camera Moja tu?