Kuna mtaa unaitwa PMMkuu huyo manzi umeshawahi kumuona? Au ndio unapenda comments [emoji1][emoji1]
Siku akimuona atalia na kusaga meno😅Mkuu huyo manzi umeshawahi kumuona? Au ndio unapenda comments 😄😄
Hahahaha Wadarisalade wanalocha kinyama asee..et piga kelele moja kwa nani ake sijui!?mambo za ki'mbanga na usoro kabisa.Huyo hapo wa juu ni wa chuga wa dar nao sasa [emoji116]
WANAUME WA DAR : piga kelele kwa mwanga akeee...weuweee
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha, angalia usipende avatar feki mzee dingii, unaweza siku ukakutana nae ukakuta kitu tofauti sanaNaonaga avatar ake2 Bablide
Kuna watu wanapenda comments za watu huku balaa, kumbe comments na mtu ni vitu viwili tofautiSiku akimuona atalia na kusaga meno😅
Unaweza kukuta hata huko PM hajakanyaga mzee baba... na swagga atakayoendea nayo huko ni Aisee navutiwa na comments zako...Kuna mtaa unaitwa PM
I'll be back
Huyo hapo wa juu ni wa chuga wa dar nao sasa [emoji116]
WANAUME WA DAR : piga kelele kwa mwanga akeee...weuweee
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha mkuu umenikumbusha mbali miaka 3 nyuma nilideal snaa na ayo madude ....Eid mubarakUkitoka hapo nenda kwny Financial Statements then cheza na IFRS na usisahau kuzijua IAS ingawa bado vitu kama Consolidations vitakusumbua kidogo ila ukifika kwny Contemporary Issues hapo ni mteremko tu.
Nami nimeshika uelekeo huo ndugu kitakacho nikuta itabaki siri yangu tu😅Kuna watu wanapenda comments za watu huku balaa, kumbe comments na mtu ni vitu viwili tofauti
Ukitoka hapo nenda kwny Financial Statements then cheza na IFRS na usisahau kuzijua IAS ingawa bado vitu kama Consolidations vitakusumbua kidogo ila ukifika kwny Contemporary Issues hapo ni mteremko tu.
Mkuu Jose naona umerudi kuifanyia sendoff corona afu Upotee tena.Kuna watu wanapenda comments za watu huku balaa, kumbe comments na mtu ni vitu viwili tofauti
Kweli mkuu jilipue tuNami nimeshika uelekeo huo ndugu kitakacho nikuta itabaki siri yangu tu😅
Nikikutana na jini sawa awe mzimu yote heri..