snochet ni mdogo wangu na rafiki yangu wa karibu sana. I am sure he will make his friend/girlfriend a happy woman. He is a VERY sensitive person, available and ready to help. He is honest and he holds values that most of us would want to see in a brother/a man. He is moderate in most of his believes and quite open to different thinking. He is curious and tolerant. He is very smart and holds structured arguments in his discussions with me, which makes him one of the best companies I have. Tunapishana kwa dini na siasa but this has never been a problem and far from dividing us it has helped me understand better christianity and Chadema. Likewise, na yeye amegundua mengi kupitia maongezi yetu.
Although we don't live in the same town we communicate very often. I really hope he will find a girl who deserves him. Good luck hun, I am sure atajitokeza mmoja atakae meet expectations zako.
Ushampata uliyekuwa wamtafuta...hongera!!!
utacheka sana mpaka mbavu zitatoka puani kkwani sisi wadada waj jf tuko hivyo unavyodhani hebu tucheki hapa katika pozi View attachment 88989 huyu ni my cousin charminglady, View attachment 88990 huyu ni gfsonwin View attachment 88991 ni Paloma katika mahanjumatu home View attachment 88992 ndo mwenyewe ladyfurahia View attachment 88993 ni Mamndenyi alivyokuwa mdogo hapo, View attachment 88994huyu ni snowhite alivyokuwa chuoni magharibi, View attachment 88996huyu ni Zion Daughter, sasa unavyosema sisi ni mijimama kwanini hunatuzeesha kiasi hicho yani ningekuwa karibu nawewe ningekutandika mikwaju kumi ili ujifunze adabu na ikushike kitotot cha juzijuzi unatutukana ovyo humu mjengoni tusingekufyatua hapa duniani wewe ungekuwepo Boflo ? si tungekuacha hukohuko waliko wengine kwannini umekosa adabu kiasi hicho na umepungukiwa na kinga za kutokuwa na adabu kiasi hicho wewe, unataka tumwambie Mungu tukufanye nini sisi humu ndani, unajua hautakaa utatembea kwa kiuno wewe, Mshukuru Mungu sisi ni wana wa Mungu tusingekuwa hivyo ungeenda kwa ulimi bila kutumia miguu wewe
enzi zangu nilikuwa mbebs bana!ahsante sana mamii kwa kunikumbusha back in those days!
:yo:we mtabiri i see!siku moja ntakwambia kwanini?
no Mentor nooooo....go to hell.........hahahah i want the cv man snochet...heheheh we cv yako ukiweka hapa..hupat mfuasi...hahah
no Mentor nooooo....go to hell.........hahahah i want the cv man snochet...heheheh we cv yako ukiweka hapa..hupat mfuasi...hahah
dah!
Hahahahahahaa...............Generation Y pambafu zake...!!
Dereva Taxi siku hizi ni mzee wa kurudi mwenyewe kimya kimya.
Mzee ya wivu mwingi naona ameanza kijiachia taratiiibuuu!!!!
Unatakaaaaaaa............Aseeeeee siku hizi Eliza yupo Uwanjani kwenye mdudu choma.
Umemsikia Preta? amesema anataka nini tena???.....hebu fanyeni miundo mbinu jamani.
Zeze that is.........tulia, utatafutiwa lenye nyuzi za sufi.nataka zeeeezeeee......
Zeze that is.........tulia, utatafutiwa lenye nyuzi za sufi.
Ya China lakini product ya market ya US......Hakikisha ni sufi ya Uholanzi........sufi ya China sitaki.........
Ulikuwa hujui kuwa huyu ndiye mume wa zamani sasa ni vyema hujue hivyo kwani nina miaka kama2 niko naye wewe unataka nini jamani mbona unanifuatilia kiasi hicho wewe
enzi zangu nilikuwa mbebs bana!ahsante sana mamii kwa kunikumbusha back in those days!
:yo:we mtabiri i see!siku moja ntakwambia kwanini?
Nikufuatilie kwani wewe tamthiliya...
Nimekuuliza hivyo kwa kuwa uliweka bandiko kama hili la kutafuta mwandani wa mtima wako, sasa sijui povu lakutokea nini na nimekuuliza kistaarabu!!
Nikufuatilie kwani wewe tamthiliya...
Nimekuuliza hivyo kwa kuwa uliweka bandiko kama hili la kutafuta mwandani wa mtima wako, sasa sijui povu lakutokea nini na nimekuuliza kistaarabu!!
Mwandisi unataka kuoangusha ghorofanataka zeeeezeeee......
Kiongozi umesemaaaZeze that is.........tulia, utatafutiwa lenye nyuzi za sufi.
Come this waY ......Hakikisha ni sufi ya Uholanzi........sufi ya China sitaki.........
Turudi chugaYa China lakini product ya market ya US......
CC: @Xiao Didi