Ndugu zangu ninaomba mnieleweshe kuna nini kinaendelea kati ya ITV na Filikunjombe kwani kwa muda wa siku tatu mfululizo ITV inafanya coverage ya huyu jamaa kwa nguvu kubwa ambayo kwa wachunguzi wa maswala ya siasa wanabaki na maswali mengi kuliko majibu.
Je, inawezekana ni kale ka scandal kwamba Mr. Machache aliwanunua Fili na Nyepesi ili wammalize Prof. Msosi Pitwa Mwongo?. Ni kama dots zinaunganishika hivi!. Sasa km ni hivyo, Imanweli Msigo wa chaneli hiyo nae amepachesiwa/botiwa?.
Akiwa kampala alikuwa reporter wa itv,baadae akaajiriwa na jeshi la polisi na baadae world vision na baadae kufungua ofisi yake.Hivo si vibaya wakimripoti vema.Lakin pia hivi kama mtu figure kafariki,kuna shida akiandikwa sana au kuripotiwa sana?tuwe wazalendo jamani