katoto kazuri
JF-Expert Member
- Feb 10, 2018
- 6,126
- 5,762
Hii noma hahahaKuna moja niliiona mahali fulani hivi.
Demu mmoja amepigwa risasi akaanguka kafa baadae kajishtukia kuwa sketi yake imekaa vibaya akairekebisha vizuri akaendelea kufa😂😂😂😂
anahitaji zawadi kwa kuangaliaUna roho ngumu kukaaaa kabisa kuangalia huo uchafu
wako cheap sana ndo maana wanatumika mpka kisiasa kwa mambo ya kipuuzi sanaBongo movies=Ukuda flani hivi.
Filamu zao zinatabilika Sana ukimuona starring ni masikini Basi mwishoni anakuwa tajiri, mlinzi ni lazima awe mchekeshaji,jambazi lazima avae koti n.k lakini Sasa hiv nimeona wamejitahidi Sana kwa upande wa tamthilia km tego,huba,Siri za familia lkn kwa upande wa filamu bado Sana.Wakuu mambo zenu.
Jana ili kuwa weekend inaisha napenda sana kuangaliaga filamu home au series ila sana sio za kwetu.
Ila jana nilibahatika kuangalia filamu zetu dah nikaona nisikae kimya niseme naishi humu humu so tunarekebishana.
Cha kwanza story mnazoandika ni nzuri na zina fundisho na waigizaji wako fresh sikatai ila tatizo ni moja tu.
Hamjui kutengeneza filamu ikavutia mtazamaji angalie nyimbo zile zile tokea kanumba dah !
Halafu jinsi mnavyofikisha ujumbe kwa wahusika ni kazi kueleweka.
Yaani mtu anangalia mnaigiza ila hujui mnataka kuumpa ujumbe gani ??
Hadi part 2 ndio uuumize kichwa ndio ujue aha ni hivi.
No pendeni kujifunza kupangilia kitu kivutie nakifikishe ujumbe kwa mtu husika ndio maana mnakosa wanunuzi tumechoka kupoteza hela kwenye vitu ambavyo havieleweki.
Kaeni chini angalieni mtakachofanya ili mpate wale watazamaji wenu wazamani.
Angalieni tamthilia za zamani kama za kaole groups mambo hayo na wakina majuto filamu /tamthilia zao ni nzuri sana .
Zinamaudhui poa yaliyokusudiwa kwa wahusika .
Ila sasa unakuta mtu anapigana anatekwa ila hujui nini katekewa wewe unaona kafungwa tu nakupigwa baadae part 10 ndio unajua ah nimtoto wa tajiri.
Ila kwa tamthilia kweli ninzuri nyingi ila filamu bado.
Waendele tu na tamthilia nafuu.
Wakati ulinzi ni sekta muhimu sana kwa usalama wa mtu yeyote.Kila mlinzi wa getini nati kichwani zimelegea😂😂😂
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji1493][emoji1493][emoji1493]Kuna moja niliiona mahali fulani hivi.
Demu mmoja amepigwa risasi akaanguka kafa baadae kajishtukia kuwa sketi yake imekaa vibaya akairekebisha vizuri akaendelea kufa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😂😂Hii noma hahaha
Mtoto wa kike wa tajiri anaolewa na maskini.Filamu zao zinatabilika Sana ukimuona starring ni masikini Basi mwishoni anakuwa tajiri, mlinzi ni lazima awe mchekeshaji,jambazi lazima avae koti n.k lakini Sasa hiv nimeona wamejitahidi Sana kwa upande wa tamthilia km tego,huba,Siri za familia lkn kwa upande wa filamu bado Sana.