Filamu: Undisputed 4



Bonge moja la movie BOYKA noumaaa
 
Mm nilianza kufatlia movie za kirusi baada ya kumuona boyka ila jamaa movie zao ni za kibabe sana na zina mafundisho
 
mkuu hiyo link mbona inaleta kifile kina 16.7kb?????
 
Namkubali sana Scott Adkin
 
You fucked pussy get up hayo maneno alisema yule American aliyemvunja mguu kwny namba 2 .,.
Akamjibu *am I fucked pussy???? Look at your fucking face in Yuri voice
 
Mazee boyka anapiga vibaya yule...Daah
Kuna saa alimchapa msela flan kelebu mpaka nikashtuka.


Utapiga utamkwepa ila akikuotea moja tu. Hehe
 
moja ya movie Kali ambayo sichoki kuitazama...hiyo sehemu ya nne bado cjaiona...
 
undisputed 3 redemption naielewa sana hii
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…