Filamu: Undisputed 4

fakalava

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2015
Posts
4,459
Reaction score
6,030
Kwa wale wapenzi wa movies za kibabe nadhani mnajua mfululizo wa Undisputed kuanzia 1 mpaka 3 lakini mwaka jana ilitoka sehemu ya 4. Katika hii filamu mtaalamu wetu Scott Adkin ameendelea kufanya vizuri kama alivyofanya kwenye sehemu ya 2 na 3 akiwa na mtaalamu Michael Jai White.

Kwa wapenzi wa martial art na nakozi za ukweli ipakue hapa chini kwa torrent.

http://www.yify-torrent.xyz/attachm...2016) 720p WEBRiP [YIFY-TORRENT.[XYZ].torrent
 
japo mapigo ni yale yale ila utamu wa muvi hii upo kwenye kisa kilichomfanya boyka kujikuta yupo urusi.

na ile lafudhi ya warusi sasa...!!!!
 
Turbo:Boyka ! Boyka ?

Boyka: Whaat ? Where i am from people dont talk unless they have something to say ...
Fcking Americans ..in Russian voice
 
Kule kwenye ile movie ma don wana bet hataree asee ile huku magerezani kwetu hmna kweli
 
yule mzee anakuambia you try to talk to her one more time Ill fuckn kill you.
sasa iseme katika lafudhi ya kirusi
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜›πŸ˜›
 
Movie ni low budget na B movie ila ni hatareeeeeee
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…