Fikra duni za wanaCHADEMA

Hebu mleta mada nenda we na wasaliti wenzako mkapambane na Limbu kisutu, CHADEMA sio hadhi yako, mara mje kulia humu ooh CHADEMA wamesusia mualiko wa wasaliti, yani hata hamueleweki nyie wajamaa.
 
Pumba at its Best......!!!!!

Mwehu aliyewehuka, ni kichaa zaidi ya Mwehu original..!!!!!

BACK TANGANYIKA
 
Ni kweli sio wana chadema tu asilmia kubwa wapenda mabadiliko wanashabikia sio waelewa wa siasa
 
Kiongozi muwazi na msema kweli asie na unafki kamwe hawezi kudumu chadema hata miezi mitatu.
 

Fikra duni za Hameez
 
Hii ndio siasa na popote duniani huwa yanasemwa na kufanywa mengi lakini anayeibukia mshindi anabakia kuwa mshindi. Panda shuka, lia au ucheke maisha lazima yasonge mbele.

Toa kwanza boriti jichoni mwako kabla ya kutoa kibanzi kwenye jicho la mwenzio!
 
Ila nataka wana chadema mnieleweshe vizuri kuhusu zito usaliti wake katika chama maana mpaka sasa nasikia usaliti usaliti ili na sisi wengine tujue usaliti alio ufanya kwenye cdm
 
Tatizo la Alliance of CCM and Traitors, ni kukosa hoja, ni kukosa fikra a kubaki na mwangwi wa CHADEMA vichwani mwenu, hakuna kitu ambacho mnakiwaza kwa ajili ya kukuza demokrasia ndani ya chama lenu la wasaliti zaidi ya kufikiria CHADEMA, siku zote, na kukashifu, eti Capito anasema Slaa kashindwa na CUF, kwani wakati Nyerere analeta uhuru wa Tanganyika Ofisi za Tanu zilikuwa wapi?

Hivi kati ya CUF na CHADEMA walioanza kupata Ruzuku kubwa ni wapi? na ruzuku ya sasa inatofautiana kiasi gani? ONCE A TRAITOR.......
 
Magamba nao kila kukicha CHADEMA kwani hawana la kuzungumzia cwaende ACT jamani kila kukicha CHADEMA
 
chadema kiko makini zaidi kwa kufuata sheria kanuni na katiba ya chama ila kwa kuna chama na wanachama wake wameshazoea cha kunyonga ndio maana sheria kwao ni kama uonevu tu
 
hichi kibonzo cha ccm ila kimepakwa rang nyeupe na nyekundu
 

Join Date : 8th March 2011
Posts : 15
Rep Power : 515
Likes Received 14
Likes Given 0


Your published particulars above speak volumes about you; no words can explain your status better than these stats!!! Bs

Bado mchanga; Ukikua utaelewa.
 
Una mawazo ya kifedhuri lazima unageuzwa na mwiguluneti
 
MTK huna hoja,uwezo wako wa kufikiria mdogo sana...pole sana ila nakuombea siku moja upeo wako ufunguke
 
Feelings are not thoughts, you just felt so. You need to take a little time and think.
 
Utakuwa umetumwa kwa hisani ya watu wa Iran. Ayatollah atawaamrisha sana.
 
Muheshimiwa Zitto alituassa tusizungumzie huku! tutizame mbele yaliyo pita si nduele. Tujenge chama chetu kipya katika misingi ya demokrasia ya kweli!!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…