Figo ya upande mmoja kujaa maji

Figo ya upande mmoja kujaa maji

LUNA

Member
Joined
Aug 1, 2012
Posts
25
Reaction score
0
Naomba msaada figo ya upande mmoja ikijaa maji inasababishwa na nini na ni njia gani za kujikinga na hilo tatizo
 
Maana yake ni kwamba mkojo ukitengezwa hautoki kwenda kwenye kibofu na hatimaje nje. Tatizo hilo hutatuliwa kirahisi kwa kuweka stent (kitu cha kutanua njia ya mkojo toka kwenye figo). unachotakiwa kufanya ni kumuona urologist ili akuandikie prescription ya kufanya kidney ultrasound and may be IVU ili ionekane wapi pameziba na ufanyike utaratibu wa kukuwekea stent. Hii itategemea na jinsi unavyojisikia - maumivu ambayo yanakufanya ushindwe kufanya shughuli zako. Kama ni mjamzito, usihofu sana, huwa inatokea na kupotea baada ya kujifungua.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom