Epicauta elbovitata
Senior Member
- Mar 19, 2012
- 143
- 19
Wakuu hata mm hii windows 8 niliinstal ila kuja kuinstal software nyingine kama vile za bluetooth inaniambia sijui no net frame nikashindwa kuelewa wakati nikiinstal windows 7 hainiambii hivyo,msaada yeyote anayejua please.
hii netframework huwa inasumbua sana hata kwangu ilinitokea nilipotaka kuintall software mpya kwenye window 8ila kitu kizuri huwa inakuletea option wakati huo ya kuidownoal na kuinstall kama nakumbuka sawsawa nahisi ina ukubwa kama wa mb 200+Wakuu hata mm hii windows 8 niliinstal ila kuja kuinstal software nyingine kama vile za bluetooth inaniambia sijui no net frame nikashindwa kuelewa wakati nikiinstal windows 7 hainiambii hivyo,msaada yeyote anayejua please.