Mkuu tuzo ya mwanasoka bora wa mwaka inatokana na perfomance ya mchezaji katika msimu uliopita wa mashindano mbalimbali. Sasa jiulize huyu Van Persie alifanya nini msimu uliopita kiasi kwamba awe kwenye list?
Mbona hujiulizi Forlan amewekwa wa nini wakati sasa ni majeruhi? Etoo, Abidal, Alves je?
Hao wote ni kutokana na perfomances zao last season.