Umemwona alivyovaa jana?mara mia na leaders atlisti alikua poa
Mtoa mada umechelewa sana au uliogopa Elnino atakuwahi?
Unahangaika sana ila anapendwa na uvaaji wake huo au ulitaka avae skirt? Kiba jana funika thanaaaaaaaaaaaa
Jana Fiesta…!!! Au sijaelewa vzr…? Embu niweke sawa mtoa mada
Kiba aanze kuvaa sketi au nguo za jeshi kama mwenzake watu watamkubali tu!
Hakuna snitch kama shabiki kwenye mziki_ROMA!
Msanii Diamond afunika kwenye fiesta ya Kigoma pamoja na kutokuwepo,ulipigwa wimbo wake shangwe alizopokea zilikuwa balaa wanakigoma hawana ajizi.
Kwa upande wa Kiba naye alifanya vizuri japo stage perfomance inamuangusha na pia mpangilio wa mavazi.
Washauri wa Kiba mshaurini alivyovaa jana Kigoma hapana jamani sio mwonekano wa kisteji alikuwa kama anaenda kupokea kipaimara (suti na moka).
Nimegundua kwamba.. el nino = heaven on desert
ni kweli angalau hata mapinduzi ya dimond yamemfanya awe anjitahidi kucontroll stage zamani alikuwa anasimama kama mzambarau tu
ni kweli angalau hata mapinduzi ya dimond yamemfanya awe anjitahidi kucontroll stage zamani alikuwa anasimama kama mzambarau tu
Umeongea point bro zaman alkuwa anaona kafka na kuitwa kwa rkel akabweteka badala ya kutumia nafas kufanya mambo
mwenzake D mdogo mdogo katafuta chanel haf kazikazia jthada kibao mpaka kimeeleweka na bado anakomaa hamna kulemaa mtt wa tandale ma mtv trace bet afrima mpaka maus.. Al k tutamuona tbc star tv clouds
All k saa iv anatumia mgongo wa mchz.mfalme gan nymbo yake hyo mpo haipeny imeishia mipakan mwenzake mdogo na tuzo ishakula mwache ajifariji