Fidel Castro

aliota au ni mtabiri? Ni kweli marekani na cuba walishaongea na hivi karibuni balozi zitafunguliwa. raisi wa marekani mweusi na papa ni muargentina
 
Labda alisema hayo akiwa anadhani haitakaa itokee..
 
Duh huyu ndio nabii si hawa kina Mwingira na Gwajima usanii mtupu.

Natafuta clip ya haya maneno. Yasije kuwa maneno amelishwa na watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…