Ficha mafile yako yasioekane popote

Singida ndio home

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Posts
3,188
Reaction score
3,379
Najua wengi wetu humu tuna pc na storage devices mara nyingi kuna vitu ambavyo tunataka viwe siri yetu peke yetu na mtu mwingine asivione kabisa mfano wa mafaile ni kama nyaraka muhimu, movies 18 Rated ambazo sio za watoto, miziki uliyorekodi na hutaki mtu aiibe aende kuiga, picha zako za siri na mafaili mengine kibao. najua kuna wadau wanatumia software kama za foder lock zinazohitaji password but incase ukisau pass it may be risky so hii ndo njia rahisi at least in case of emergency na huna software.

kwa kufata hizi picha nadhani utaelewa











 
Weka maelezo wengine tunatumia simu ngumu kuona hizo picha na maneno yake.
 
ngoja nikayafiche....
 

Natumia WindowXP, folder imepotea lakini sioni "open folder " from tools wakati ukiclick ALT T, msaada please.
 
ingia folder lolote then minya alt na t kwa wakati moja hapo utakua kwenye tab ya tools sasa ingia folder options then ingia view sasa hapo ingia show hidden files
 
shiny c Hiyo njia haifai maana toto yangu inaweza kuwa inaingia humu so kitu cha kwanza kwake itakuwa ni kutest Pc ya Mdingi wake na akikuta kuna hidden file zimejaa full Maupoka videos na zile za Dancehall skinout maskani itakuwa haikaliki hivy naungana na Shaffin Simbamwene kuwa BitLocker Drive Encryption ndo mwisho wa maneno
 
Hiyo njia sio salama kwa maana mtu yeyote anayefahamu Computer vizuri haswa kucheza na Control panel lazima atayaona tu. Vile vile uki search files lazima hided files zitaonekana. Njia nzuri ni kutumia file lock.
 
Hiyo njia sio salama kwa maana mtu yeyote anayefahamu Computer vizuri haswa kucheza na Control panel lazima atayaona tu. Vile vile uki search files lazima hided files zitaonekana. Njia nzuri ni kutumia file lock.

Hiyo njia ni ya kizamani sana na unaweza kuwaficha mafile labda wanafunzi wa computer, lakini kwa mtumiaji yoyote mzuri wa computer hiyo njia anaijua.

Hiyo njia ni very poor.
 
Xo kama una2mia windos 8 unaweza kufanya huo utundu
 

Bitlocker inasaidia kama malicious user akitaka kutumia PC yako kwa OS nyingine. Ila kama umewasha PC na kutumia OS hiyo hiyo haisaidiii. Mafaili bado yapo wazi!
 
mimi natumiaga Wise Folder Hider ambayo ni bure kabisa na naiona poa sijuwi wengine mnaionaje.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…