Nawasalimu wakuu,
Mimi ni mhasibu (kwa uzoefu[emoji38][emoji38]) katika taasisi yangu.
Ninakauzoefu kidogo matumizi ya FFARS katika kufanya miamala ya mapato na matumizi, recociliation, adjustment atl.
Kwa wale tunaohusika na hii kitu karibuni tupeane mauzoefu.