M Mpanda nyangobe JF-Expert Member Joined Apr 30, 2015 Posts 778 Reaction score 1,722 Nov 18, 2018 #1 yule mkongwe wa bongo fleva ameachia video mpya..wachambuzi wa masuala ya muziki wanadai ngoma hii itamrudisha rasmi kwenye game ..stay tuned
yule mkongwe wa bongo fleva ameachia video mpya..wachambuzi wa masuala ya muziki wanadai ngoma hii itamrudisha rasmi kwenye game ..stay tuned
Pablo 119 JF-Expert Member Joined May 19, 2018 Posts 1,520 Reaction score 1,969 Nov 18, 2018 #2 Anapasha viboporo wenjie wanapakua mdaa umeshakwisha bora afanye mambo mengine kurinda heshima yake maana sasa hivi vijana damu moto
Anapasha viboporo wenjie wanapakua mdaa umeshakwisha bora afanye mambo mengine kurinda heshima yake maana sasa hivi vijana damu moto
NALIA NGWENA JF-Expert Member Joined Oct 6, 2016 Posts 11,291 Reaction score 14,573 Nov 18, 2018 #3 Kila la heri
BRO SANTANA JF-Expert Member Joined Jun 15, 2015 Posts 1,845 Reaction score 2,249 Nov 18, 2018 #4 Daaa huyu jamaa anatia huruma sana. Maisha yanabadilika. Walijisahau sana na ule umaarufu wa miaka ya 2000. Sasa kuna madogo wanasimamia kucha ni fire.
Daaa huyu jamaa anatia huruma sana. Maisha yanabadilika. Walijisahau sana na ule umaarufu wa miaka ya 2000. Sasa kuna madogo wanasimamia kucha ni fire.
LIKE JF-Expert Member Joined Dec 17, 2013 Posts 4,766 Reaction score 9,928 Nov 18, 2018 #5 Skauti jentaa kwaherinii
a45 JF-Expert Member Joined Sep 2, 2017 Posts 1,453 Reaction score 1,604 Nov 18, 2018 #6 Mbona ngoma yenyewe hatuioni tuweze kuona kama kweli usemayo yapo Mpanda nyangobe said: yule mkongwe wa bongo fleva ameachia video mpya..wachambuzi wa masuala ya muziki wanadai ngoma hii itamrudisha rasmi kwenye game ..stay tuned Click to expand...
Mbona ngoma yenyewe hatuioni tuweze kuona kama kweli usemayo yapo Mpanda nyangobe said: yule mkongwe wa bongo fleva ameachia video mpya..wachambuzi wa masuala ya muziki wanadai ngoma hii itamrudisha rasmi kwenye game ..stay tuned Click to expand...
King Kong III Platinum Member Joined Oct 15, 2010 Posts 62,825 Reaction score 94,986 Nov 19, 2018 #7 Kwisha habari yake huyo Teja.