"Feminism" Symbol Ndiyo Inayompa Matatizo Simba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

"Feminism" Symbol Ndiyo Inayompa Matatizo Simba

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by John10, Nov 11, 2009.

 1. J

  John10 JF-Expert Member

  #1091
  Nov 11, 2009
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 357
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa muda mwingi viongozi wanawake wa TZ, hawapewi respect kama viongozi wanaume.

  Maneno anayojibiwa Mheshimiwa Sophia Simba ni ushahidi wa kutosha kwamba, viongozi wanawake ndani ya TZ wanakazi ndefu ya kupigania haki zao. Kuna maneno mengi ambayo yalitamkwa na viongozi wa kiume bila ya kuwa na ushahidi, lakini hatukuona majibu yasiyokuwa na respect kutoka ktk viongozi wa CCM kama tunavyoona sasa hivi.

  Kwa mfano, Mrema na Mtikila, hawa viongozi walikuwa wanazungumza watakavyo bila ya kuwa na ushahidi, lakini hawakuwahi kuitwa " Chizi" "Mwendazimu" au "Kichaa". Ubaguzi wa Wanawake ndani ya TZ ni moja ya tatizo kubwa ambalo linatakiwa litatuliwe haraka iwezakanyo.

  Mheshimiwa Simba na viongozi wengine wa kike wajibiwe kwa hoja na si kuambiwa "Machizi" "Mal** nk.
   
Loading...