Ta Muganyizi
R I P
- Oct 19, 2010
- 5,355
- 2,737
Haiwezekani kwenye civics uambiwe mambo ya reproductive organs hiyo ni biology.
Labda kwa kuwa nimemaliza form 4 siku nyingi na mambo yamebadilika
Labda kwa sababu amesema ni jorks!Haiwezekani kwenye civics uambiwe mambo ya reproductive organs hiyo ni biology.
Labda kwa kuwa nimemaliza form 4 siku nyingi na mambo yamebadilika
Haiwezekani kwenye civics uambiwe mambo ya reproductive organs hiyo ni biology.
Labda kwa kuwa nimemaliza form 4 siku nyingi na mambo yamebadilika
Kweli kabisa Kabakabana. Isitoshe, thread hii mbona yafanana na ile ya Angel Nylon yenye title ya kiingereza: 'A Test to draw a picture?' Je Muganyizi thread hiyo ya Angel Nylon ulishaiona? Kama bado itafute huku jamvini halafu urudi mwaka mpya na neno.

Labda kwa sababu amesema ni jorks!
Jamani mie nasema ni Civics kama huamini soma signature yangu. Nyie mnalazimisha iwe bios loh>>>
makubwa.
Copy and pest last wik ilikuwemo humu
Siku moja wanafunzi wa kidato cha nne walikuwa wanafanya mtihani wa Civics...wakakuta swali linalouliza kuwa " Draw and label the female reproductive organ yaani uke.
Dada mmoja alijaribu kuichora lakini ikamshinda..... basi akaamua achukue karatasi ya A4 ili aibandike ukeni kisha aje aigilizie na penseli. Kumbe pembeni Kaka mmoja yuko anamwangalia na alipoona kuwa huyo Dada atafanikiwa ikabidi amshtaki kwa mwalimu hivyo akapiga kelele ifuatavyo.
"Teacher........teacher......teacher........this is not fair.... She is copying from the orijino" Teh the the hapy nyu year.
Huu sasa ni uvivu wa kufikiri!Juzi tu imetoka thread kwa kiingereza,wewe umetafsiri na ku-modify kidogo!Si njema!
Jamani mie nasema ni Civics kama huamini soma signature yangu. Nyie mnalazimisha iwe bios loh>>>
Signature yako ina mushkel mwishoni. "................you cant force him or her to eat that water" Is water
eaten or drunk?