M mkalla ramso New Member Joined Apr 28, 2014 Posts 2 Reaction score 0 May 4, 2014 #1 wauzaji wa pikpik aina ya FEKON duka kubwa moshi mjini wameleta aina mpya kwa bei nafuu .r Attachments IMG_20140430_111304.jpg 757.7 KB · Views: 194 IMG_20140430_111251.jpg 651.9 KB · Views: 146 IMG_20140430_111317.jpg 597 KB · Views: 110
Pastor Achachanda JF-Expert Member Joined May 4, 2012 Posts 3,023 Reaction score 1,317 May 4, 2014 #2 Sasa mkuu tutajie bei, ulaji wa mafuta, cc(ie 150,125), uimara wake hasa sisi wa mizigo, upatikanaji wa spea nk. Weka na mawasiliano labda naweza pata moja.
Sasa mkuu tutajie bei, ulaji wa mafuta, cc(ie 150,125), uimara wake hasa sisi wa mizigo, upatikanaji wa spea nk. Weka na mawasiliano labda naweza pata moja.