Mkuu kwani kuleta humu jamvini huoni kama ni msaada?wewe umechukua hatua gani kama mtanzania mpenda haki, maana haki bila usawa sio haki
Nilikuwa hapa Singida tangu jana, nimekuja kuchukua gari, nikiwa maneo ya stend ya zamani, kulitokea msichana ambaye jina lake Safina analalamika kuwa kulikuwa na kikundi cha wanaume wenye asili ya kiasia, (wahindi) wanamlazimisha kufanya naye mapenzi, kwa mujibu wa maelezo ya Dada huyo ni kuwa walitaka kumbaka walimlazimisha kumshika sehemu zake bila ridhaa.
Watanzania hao wenye asili ya kiasia (wahindi) walitoa pesa kwa Askari, yule Dada akamatwa, ameswekwa lock up, ila waliokuwa wanataka kubaka wanaendelea kudunda nje.
Rafiki zake yule mwanadada Jesca na Debora, waliokuwa wanafahamu uchafu wa vijana hao wamekamtwa asubuhi hii na kuwekwa lock up kwa kosa la kufanya fujo, bila kutajiwa waliyemfanyia fujo.
Polisi wamekamata aliyenusurika kubakwa, wakamwacha mbakaji, wanakamata mashahidi wa aliyetaka kubakwa, wabakaji wapo huru nje, Hayo yapo na yanaendelea kujiri sasa Kituo kikuu cha Polisi Singida, mamlaka husika zifuatilie ukatili huu.
Yawezekana ulikuwa ni wizi wa kuhaminiwa na ndiyo maana Polisi wakachukua hatua ya kumkamata.police wa Tanzania Ni Hatari Sana! Mengi Yanatokea Ya Kikatili Ambayo Hayaripotiwi,kituko Kingine Kimefanywa Na Police Wa Kahama Ktk Kijiji Cha Ilogi,wamemkamata Mdaiwa Na Kumuweka Ndani Siku 2,huo Ni Ukatili Na Ni Kinyume Cha Sheria,mdaiwa Huwa Hawekwi Lock Up,hupelekewa Samasi Ili Akajibu Mashtaka Ya Deni Mahakamani,anapoidharau Amri Ya Mahakama Ya Kumtaka Aende Mahakani,hapo Ndipo Police Kisheria Wanaruhusiwa Kumkamata Na Kumfikisha Mahakamani Kwa Nguvu,kwa Nini Umkamate Mdaiwa? Amekuwa Mwizi? Police Wa Tanzania Ni Hatari Sana!
wewe umechukua hatua gani kama mtanzania mpenda haki, maana haki bila usawa sio haki
Ni msaada kwetu maana ametuhabarisha na kumuongezea wingi wa huruma dada yetu, labda angeahirisha safari yake kwa masaa machache na kwenda kituoni kuonana na dada yetu, kisha azipeleke taarifa sehemu husika.Hata hivyo shukrani kwa kuonyesha mfano mwingine wa jinsi gani polisi wakitanznia wanatumika vibayana wageni.Mkuu kwani kuleta humu jamvini huoni kama ni msaada?
Ungejua wanaopita humu jamvini ungeshukuru kwa msaada aloutoaNi msaada kwetu maana ametuhabarisha na kumuongezea wingi wa huruma dada yetu, labda angeahirisha safari yake kwa masaa machache na kwenda kituoni kuonana na dada yetu, kisha azipeleke taarifa sehemu husika.Hata hivyo shukrani kwa kuonyesha mfano mwingine wa jinsi gani polisi wakitanznia wanatumika vibayana wageni.
weka picha