hata mi nataka kujua fedha zetu ni za hali ya chini sana wiki iliyopita nilikua mahari panaitwa nyasa msumbiji amini usiamini mtoto mdogo hawezi kuichana noti ya sh ishrirni ya macambique. yaanio ni full plastic inadumu ukiiweka ktk maji ni water proof sijui haya magarasa yetu
Sasa JF mbona imekuwa kichaka cha wahuni? Kama huna jbu yakini kheri kukaa kimya kuliko kudhibitsha uhayawani wako. Nltegemea mtu kaleta swali basi anajbiwa jb sahihi tena kistaarabu. UUNGWANA VITENDO!