Atomic bomb
Member
- Apr 10, 2012
- 16
- 15
Hiii ya Fcc so zengwe mzee ni kweli ila issue kujua kama hizo hoja zote zina ukweliZengwe.....! Utopolo wanatafutiwa kombe kinguvu...! Kombe mtalisikia kwenye bomba
Mo atapata heart attack[emoji23]RI P O T I - Y A - U C H U N G U Z I - (F C C) !!
[emoji3502]Uchunguzi wa awali wa (provisional funding) kutoka tume ya ushindani wa kibiashara (FCC) na maamuzi yake dhidi ya Simba juu ya mchakato wa muungano wa makampuni.... Katika ripoti hiyo imeainisha adhabu na baadhi ya mambo kama ifuatavyo.
M A A M U Z I - Y A - F C C
1. Simba kulipa (326,510,251) kwa kufanya (MERGER) bila kuitaarifu (FCC)
2. Kuzuiwa kufanya lolote siku za usoni kinachokinzana na muongozo wa (FCC)
3. Kutoa Tangazo katika magazeti mawili kuhusu maamuzi ya (FCC)
4. Siku (7) za kujibu / kukubali matokeo haya yalioanishwa na (FCC)
5. Mdaawa Mohamed Dewji kulipa (19.6) Bilioni na taarifa za malipo kupelekwa (FCC) kwa ufuatiliaji.
6. MOU iliyoingiwa (10. 01. 2018) kati ya Simba sports club, Wadhamini na Mo Dewji iwe TERMINATED kutoka siku ya kukubaliwa FINDINGS hizi.
7. Katiba ya SSC ya (2018) IFUTWE kwa kuwa inaenda kinyume na kanuni za baraza la michezo la taifa.
8. MEMART ya SSC CO LIMITED kufutwa na kuondolewa katika katiba ya SSC kwa kuwa inakiuka kanuni za BMT.
09. Maombi ya SIMBA HOLDING CO na MO SIMBA CO kutaka kuungana yamefutwa (CEASED) kwa kuzingatia umuhimu wa jambo hilo.
10. FCC haitoendelea na kusikiliza / kufanyia kazi ombi hilo la kuungana lililosimamishwa (STAYED)
11. FCC inatoa amri kuwa ombi hilo limefungwa rasmi.
Mpaka sasa ni haya nimeyapata.wadau hii imekaaje kuna ukweli wa hili
FCC sidhani kama wana lengo la kuleta zengwe bali wanachokihitaji ni kufuata utaratibu, sheria pasipo kuwepo na ubabaishajiZengwe.....! Utopolo wanatafutiwa kombe kinguvu...! Kombe mtalisikia kwenye bomba
Si kila post ni utopolo fuatilia kinachoendelea..hili ni swala la uendeshaji halina uhusiano na makombe kwa sassUtopolo jengeni timu...hilo ndo lengo kwa msimu huu....Achaneni na suala la kombe... ...Kombe lina wenyewe..! Msikiage na nyingi...!
Hii wametoa lini?RI P O T I - Y A - U C H U N G U Z I - (F C C) !!
[emoji3502]Uchunguzi wa awali wa (provisional funding) kutoka tume ya ushindani wa kibiashara (FCC) na maamuzi yake dhidi ya Simba juu ya mchakato wa muungano wa makampuni.... Katika ripoti hiyo imeainisha adhabu na baadhi ya mambo kama ifuatavyo.
M A A M U Z I - Y A - F C C
1. Simba kulipa (326,510,251) kwa kufanya (MERGER) bila kuitaarifu (FCC)
2. Kuzuiwa kufanya lolote siku za usoni kinachokinzana na muongozo wa (FCC)
3. Kutoa Tangazo katika magazeti mawili kuhusu maamuzi ya (FCC)
4. Siku (7) za kujibu / kukubali matokeo haya yalioanishwa na (FCC)
5. Mdaawa Mohamed Dewji kulipa (19.6) Bilioni na taarifa za malipo kupelekwa (FCC) kwa ufuatiliaji.
6. MOU iliyoingiwa (10. 01. 2018) kati ya Simba sports club, Wadhamini na Mo Dewji iwe TERMINATED kutoka siku ya kukubaliwa FINDINGS hizi.
7. Katiba ya SSC ya (2018) IFUTWE kwa kuwa inaenda kinyume na kanuni za baraza la michezo la taifa.
8. MEMART ya SSC CO LIMITED kufutwa na kuondolewa katika katiba ya SSC kwa kuwa inakiuka kanuni za BMT.
09. Maombi ya SIMBA HOLDING CO na MO SIMBA CO kutaka kuungana yamefutwa (CEASED) kwa kuzingatia umuhimu wa jambo hilo.
10. FCC haitoendelea na kusikiliza / kufanyia kazi ombi hilo la kuungana lililosimamishwa (STAYED)
11. FCC inatoa amri kuwa ombi hilo limefungwa rasmi.
Mpaka sasa ni haya nimeyapata.wadau hii imekaaje kuna ukweli wa hili
Kwani wewe mbona unaongelea utopolo tu? Wapi katika hilo bandiko imetajwa Yanga. Si ujikite kwenye uzi mkuu uongee kama mshabiki wa simba. Na uongelee fcc.Utopolo jengeni timu...hilo ndo lengo kwa msimu huu....Achaneni na suala la kombe... ...Kombe lina wenyewe..! Msikiage na nyingi...!
Kwa hiyo kosa la hao so called Utopolo ni lipi hapo?! Au ndo kupagawa kwenyewe?Utopolo jengeni timu...hilo ndo lengo kwa msimu huu....Achaneni na suala la kombe... ...Kombe lina wenyewe..! Msikiage na nyingi...!
Ona huyu. Hata kinachoendelea hajui ila anapayuka tu.Mambo ya kesi ni mahakamani simba tupo vizuri kwenye hilo hatutoki kwenye reli kwa kama mchakato umekosewa tutarekebisha # haturudi nyuma hadi simba iwe timu kubwa barani Africa
FCC walitoa siku 21 za Simba kujibu, siku hazijaisha Uto wamekuja na propaganda ili kuzma vibe la Simba Super Cup.Mambo ya kesi ni mahakamani simba tupo vizuri kwenye hilo hatutoki kwenye reli kwa kama mchakato umekosewa tutarekebisha # haturudi nyuma hadi simba iwe timu kubwa barani Africa
Hvi unajua waliopeleka pingamizi ni baadhi ya wanachama wa simba ni hiki kilichopo hapa kimetoka Fcc...FCC walitoa siku 21 za Simba kujibu, siku hazijaisha Uto wamekuja na propaganda ili kuzma vibe la Simba Super Cup.
Sent using Jamii Forums mobile app