che wa Tz JF-Expert Member Joined Jul 14, 2011 Posts 277 Reaction score 71 Mar 13, 2014 #1 Moja na features za win7 ni windows Fax. Wadau naomba kujuzwa kama kuna mtu yoyote aliyewahi kutumia hii huduma ya fax kwenye pc yake....na je hizi modem za kawaida za huawei 3G zinaweza kusupport hii huduma?.
Moja na features za win7 ni windows Fax. Wadau naomba kujuzwa kama kuna mtu yoyote aliyewahi kutumia hii huduma ya fax kwenye pc yake....na je hizi modem za kawaida za huawei 3G zinaweza kusupport hii huduma?.