Fatuma Karume: CCM just shoot in the dark

Precisely man, where was Fatma when her father was in the throne? She kept it to herself during her dad's reign, and the man was ruling in shambles just like the current president. Why didn't she say anything.

Hawa jamaa wamekula mno, they need to sh7t up, their time's gone.!
 
Shit just got real!
With this meltdown amongst CCM, then CCM Era is about to end
 
kwani ni lazima sote tujibu kwa kingereza japo wengine kinatupa matatizo?
 
Namtazamia kuwa Rais wa Zanzibar miaka ijayo., she is intelligent, she has vision maneno yake mafupi lakini yana maana pana sana
 
i appriciate madam fatma karume ,ur good to lead ur people for changes in zanzibar
 
Wakati Daddy yuko IKULU na akipewa mapande ya kazi za sheria kwenye Law Firm yake hakuyaona yote haya!!!!! Ama kweli chotara hizbu ni hatari sana kwa ustawi w jamii na Taifa letu.
Hii ni dhambi kubwa ya ubaguzi Leo huyu hizbu je Mi Mmangati nitaitwaje? Basi we intarahamwe!!!!! Here!!!?!!
 

Rubbish. Shallow analysis. Bland generalisations. Who has been shooting what? Why can't you speak in down-to-earth language? Who finances CUF? How many Tanzanians (out of 45 million) identify themselves with UAMSHO or serkali ya MKATABA? How many want the Sultan back? It must be a sick mind, very sick, that pretends to be smarter than its ancestors.
 
Mbona hakuyasema hayo baba yake alipokuwa madarakani?
Akamfuate uncle wake Mansoor Yusf Himid
 
Waliotabiri CCM kufa 2015 wameufyata sasa wanaibuka watabiri Uchwara wapya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…